Mradi
huo wa Global Out reach ulibuniwa na Bwana Mussle ambaye alitembelea
Tanzania akimtembelea binti yake aliye kuja kijitlea Iringa (hawa ni
raia wa marekani). Mradi huo unafadhiriwa na BENKI KUU YA TANZANIA,
ROTARY INTERNATIONAL, ROMAN CATHOLIC CHURCH IRINGA, ST THOMAS MORE
PARISH KICHANGANI, SUNRISE ROTARY USA, BRADENTON ROTARY USA, ST
STEPHENS, TTCL
Mkuu wa wilaya aliwaasa waalimu wote wa shule za sekondari kuanza kufikiria uwezekano wa kuwa na maktaba ya kompyuta. baada ya zoezi la maabara kwisha na madawati kuptakina shule zote kitakacho fuatia ni kuhakikisha shule zote zinakuwa computarized.






0 maoni:
Chapisha Maoni