U
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO
hapaTanzania Dr.Chatora Rufaro akiongoza Ujumbe wa mashirika ya Umoja wa Mataifa UN walipofika Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO
hapaTanzania Dr.Chatora Rufaro akiongoza Ujumbe wa mashirika ya Umoja wa Mataifa UN walipofika Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ikulu.]
0 maoni:
Chapisha Maoni