Jumatatu, 15 Agosti 2016

ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI WA CANADA MAKAO MAKUU YA JESHI LEO TRH 15/08/2016. ANGALIA ATTACHMENT.

SING1
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), akimkabidhi zawadi ya Nembo ya JWTZ Waziri wa Ulinzi wa Canada, Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) ofisini kwake Makao Makuu Upanga jijini Dar es Salaam.
SING2
Waziri wa Ulinzi wa Canada Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) akifurahia zawadi ya Kinyago alichokabidhiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni