Postedy by Esta Malibiche on August 17.2016 in News with No comment
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, akitoa mada juu ya
ujasiriamali kwa Wakuu wa Wilaya wastaafu, wakati wa semina ya mafunzo ya
ujasiriamali yaliyofadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao
makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2016.
ujasiriamali kwa Wakuu wa Wilaya wastaafu, wakati wa semina ya mafunzo ya
ujasiriamali yaliyofadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao
makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2016.
Mwenyekiti wa Wakuu wa wilaya wastaafu, Ramadhan Maneno
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (watatu
waliokaa), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji,
(wapili waliokaa), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, George
Yambesi, (wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu,
(wakwanza kushoto waliokaa) na Mwenyekiti wa Wakuu hao wa Wilaya
wastaafu, Ramadhan Maneno, (wakwanza kulia waliokaa) wakiwa katika picha
ya pamoja na baadhi ya wastaafu hao
Mgeni rasmi na wakuu hao wa wilaya wastaafu
Mgeni rasmi na wakuu hao wa wilaya wastaafu
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Erasto Sima
Mkuu wa Wilaya mstaafu, Christopher Kangoye
Shigongo, akisalimiana na Mkuu wa wilaya mstaafu, Mwalimu Zainabu R.M. Mbussi
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akifunga mafunzo hayo Agosti 16, 2016
Meneja
wa PSPF, anayeshughulikia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), Mwanjaa
Sembe, akitoa mada kuhusu faida za kujiunga na mpango huo
Kaimu
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala,
Hipoliti Lello, akitoa mada kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko huo
hususan ushirikiano wa Mfuko huo na PSPF, katoa bima ya afya kwa
wanachama wa PSPF
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Betty Mkwasa, akifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mafunzo hayo
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Manzie Manguchie, akifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mafunzo hayo
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Wilaya Wastaafu, Ramadhan Maneno, (kushoto), akizungumza
jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publisher, Eric Shigongo
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Makunga, akitoa maoni yake kuhusu uanzishwaji wa SACCOS hiyo
Meneja wa PSS, Mwanjaa Sembe, akimsikiliza Mkuu wa wilaya mstaafu, Erasto Sima
Shigongo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa wilaya wastaafu, baada ya kuwapa elimu juu ya ujasiriamali
Shigongo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa PSPF
Shigongo akisikiliza maswali ya wakuu wa wilaya wastaafu baada ya kutoa mada yake, iliyowavutia wengi
Kaimu
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala,
Hipoliti Lello, (kushoto), akizungumza jambo na Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia) na Mtafiti wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Mapesi Maagi
Shigongo aiasikiliza wakuu wa wilaya wastaafu baada ya kutoa mada yake juu ya ujasiriamali
Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kushoto), akipokewa na Mwenyekiti
wa Wakuu wa wilaya wastaafu, Ramadhan Maneno, (watatu kushoto), Katibu
wa wakuu hao, Betty Mkwasa, (kushoto) na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa
Mfuko huo Abdul Njaidi wakati akielekea ukumbini kufunga mafunzo hayo
Agosti 16, 2016
………………………………………………………………..
Akitangaza azimio hilo, mwishoni mwa mafuno hayo
yaliyofadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao makuu
ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Sekretariati ya wakuu hao
wastaafu, Crispin Meela, alisema, wajumbe 10 wamechaguliwa na wana
semina hao ili kushughulikia utaratibu mzima wa kuanzishwa kwa SACCOS
hiyo haraka iwezekanavyo.
Wajumbe wa Kamati ya muda ya
kusimamia mambo hayo ni pamoja na Ramadhan Maneno (Mwenyekiti), Betty
Mkwasa (Katibu), Crispin Meela, Erasto Sima, Geogina Bundala, Farida
Mgomi, Said Amanzi, Fatma Ally, Muhingo Rweyemamu na Manzie Mangochie.
Kwenye mafunzo hayo Wakuu hao wa
wilaya wastaafu, waliweza kupata elimu kutoka kwa wataalamu mbalimbali
wakiwemo Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi, Beng’ Issa, na wataalamu wa Saikolojia, na Wajasiriamali
wenyewe kama vile Eric Shigongo.
Akifunga mafunzo hayo Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, ametoa changamoto kwa wakuu hao
wanaokadiriwa kufikia 100 na ambao wamejiunga uanachama wa Mfuko huo
kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), kuwa uamuzi wao
utawakwamua kiuchumi na wanachotakiwa ni kuwa na mpango kamambe
utakaoweza kutekelezeka kwa ufanisi mkubwa.
kama shirika lingine lolote lile
la kutoa huduma za Pensehni na za kifedha, umoja huo ni fursa kubwa kwa
Mfuko na ndio maana umeamua kuwaunga mkono ili mmfikie azma yenu ya
kuanzisha SACCOS hiyo”. Alisema.
0 maoni:
Chapisha Maoni