Jaji Mstaafu Salome Kaganda
Kamishia wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akiwaapisha  Manaibu Kamishina  wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo na Juma Yussuf (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
Charles Mwankupili
Mwakilishi wa Katibu Mkuu Kiongozi, Charles Mwankupili akizingumza jambo wakati wa hafla ya kula kiapo cha Maadili kwa Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo na Juma Yussuf Ali (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda na Mwakilishi wa IGP, Kamishina wa Jeshi la Polisi Nsato Marijani Mssazya.
PIX2
Manaibu Kamishina Modestus Gasper Lyimo (kushoto) na Juma Yussuf wa Jeshi la Polisi wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa umma leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
PIX3
Manaibu Kamishina Modestus Gasper Lyimo (kushoto) na Juma Yussuf wa Jeshi la Polisi wakitia saini katika fomu za kiapo cha maadili ya viongozi wa umma leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
PIX4a
Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akimkabidhi fomu ya maadili ya viongozi wa umma Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo.
PIX4b
Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akimkabidhi fomu ya maadili ya viongozi wa umma Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Juma Yussuf.
PIX5a
Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi DCP Modestus Gasper Lyimo na DCP Juma Yussuf Ali walioapishwa leo Jijini Dar es Salaam.
PIX5b
Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi DCP Modestus Gasper Lyimo na DCP Juma Yussuf Ali walioapishwa leo Jijini Dar es Salaam pamoja na wafanyakazi wa Sekretaieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma.(Picha zote na: Frank Shija, MAELEZO).