Mnamo mwezi
January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa
mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na
kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa
namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la
upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati bado kuna malalamiko kwamba
watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni