Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd, Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Juma Malik Akili kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Mustafa Aboud Jumbe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Omar Hassan
Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Mwatima Ameir
Issa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Jamala Adam
Taib kuwa Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya wakati wa hafla iliyofanyika
Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd, Shomari Omar
Shomari kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasilianona
Usafirisahaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
jioni,[Picha na Ikulu.]
0 maoni:
Chapisha Maoni