Jumatano, 13 Aprili 2016

Makonda atangaza operesheni kubwa kuwaondoa Omba omba mitaa ya jiji la Dar

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Mkonda atangaza operesheni kubwa itakayosimamiwa na jeshi la polisi dhidi ya ombaomba wanaosimama barabarani katika mitaa yote ya jiji la Dar es salaam

0 maoni:

Chapisha Maoni