Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifungua mdahalo
wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la
Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na
Visiwani leo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkazi Shirika la
Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na
Rwanda Bibi. Mary Kawar akizungumza na vijana (hawapo pichani) wakati wa
mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na
shirikila hilo leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akitoa
mada wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania
ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha
vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam
Mtaalam wa ajira kutoka ILO Bw.
Jealous Chirore akichangia mada wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa
vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika hilo na kushirikisha vijana
kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam
Mwakilishi kutoka YUNA – Chuo cha
Bogamoyo akiuliza swali wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana
wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na
kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es
Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi
kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya
Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda Bibi. Mary Kawar baada ya
kufungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa
na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka
Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo
0 maoni:
Chapisha Maoni