Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akiwasili katika Hospitali ya Mkoa wa Manyara.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akipata maelezo namna ya kitengo cha maabara ya
Hospitali ya Mkoa wa Manyara inavyofanya kazi
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara,
Bw. Eliakim Maswi juu ya kufanyia marekebisho vifaa vya Maabara.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.Hamisi
Andrea Kigwangalla akiangaliaa benki ya damu ambayo haina kabisa damu
licha ya kutolewa miongozo ya kila Hospitali kuwa na benki yake ya damu
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla (katikati) akipatiwa maelezo ya kutoka kwa Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Manyara. Kulia kwake ni Mganga Mkuu wa
Mkoa huo Dkt. Ally Uledi,

..Ziara ikiendelea
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitoa maelezo namna ya ramani ya chumba cha
upasuaji kinavyotakiwa kujengwa
Chumba cha kutakasia vifaa maalum vya upasuaji
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitafakari jambo wakati alipokagua chumba cha
upasuaji.
..Wakisikiliza maswali ya watendaji wa Hospitaali
Baadhi ya viongozi na madaktari wa Hospitaali ya Mkoa wa Manyara wakifuatilia mkutano huo
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kwa uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa
Manyara..
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Bw. Eliakim Maswi akifafanua jambo katika mkutano huo.
ZIARA YA KITUO CHA AFYA MAGUGU WILAYA YA BABATI
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akiwasili katika Kituo cha Afya cha Magugu Wilayani
Babati
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akisalimiana na watumishi wa kituo cha Afya cha
Magugu Wilayani Babati
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akipata taarifa fupi katika Kituo cha Afya cha
Magugu Wilayani Babati
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akipata maelezo katika chumba cha dawa katika Kituo
cha Afya cha Magugu Wilayani Babati
Ukaguzi ukiendelea..
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitoka katika jengo la Kliniki ya Afya ya Uzazi
katika Kituo cha Afya cha Magugu Wilayani Babati
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika kituo cha Afya cha Magugu Wilayani Babati
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Magugu Wilayani Babati
wakifuatilia mkutano maalum na Naibu Waziri wa Afya Dk. kigwangalla
Afisa Tawala wa Mkoa wa Mara akitoa maelezo machache ya kumshukuru Naibu Waziri wa Afya Dk. Hamisi Kigwangalla

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kwa viongozi na watendaji wa Kituo
cha Afya Magugu Wilayani Babati wakati.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi
Andrea Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Hospitali ya Mkoa wa
Manyara pamoja na Kituo cha Afya Magugu kilichopo Wilayani Babati
ambapo ametoa maagizo mbalimbali ya kiutendaji na sera katika utoaji wa
huduma kwenye sekta ya Afya nchini.
Dkt.
Kigwangalla alianzia katika Hospitali ya Mkoa wa Manyara na kisha
kuagiza uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwa na chumba maalumu
cha kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum ((ICU) angalau
kuwa na vitanda viwili vya kuanzia.
Dkt.
Kigwangalla alibaini changamoto mbalimbali licha ya kuwa na majengo
machache na mapya, katika Hospitali hiyo inakabiriwa na ukosefu wa
chumba cha wagonjwa hao mahututi hivyo kuagiza Katibu Tawala na Mganga
Mkuu wa Mkoa, Bw. Eliakim Maswi kuhakikisha wanaanza na vitanda viwili
hadi vitatu vinapatikana haraka ilikuwa na uwezo wa kusaidia wagonjwa
wanaofikishwa hapo ilikupatiwa uangalizi maalum.
Dkt.
Kigwangalla amebainisha kuwa, Hospitali kubwa kama hiyo kukosa chumba
cha ICU ni hatari endapo itatokea tatizo kubwa hivyo kuagiza
kulichukulia hatua za haraka.
Aidha,
Naibu Waziri amesikitishwa na hali aliyokutana nayo kwenye maabara ya
Hospitaali hiyo kutokuwa na damu za kutosha kwenye benki yake na
kumuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo Dkt. Ally Uledi, kuanisha mipango ya
upatikani wa damu salama katika kipindi cha siku 30.
Katika benki hiyo ya damu, Dkt. Kigwangalla aliweza kushuhudia kukiwa na damu unit 3 badala ya 150 zinazohitajika.
Aidha,
Dkt. Kigwangalla alifunga safari hadi Wilaya ya Babati na kukagua kituo
cha Afya Magugu na kukagua mambo mbalimbali katika kituo hicho huku
akitoa maagizo ya kiutendaji huku akitaka apatiwe taarifa ambazo
wanahitaji kusaidiwa zile zinazoihusu Wizara yake ilikushughulikiwa
haraka.
picha na Endrew chale
0 maoni:
Chapisha Maoni