Ijumaa, 4 Novemba 2016

MATUKIO ZAIDI WAKATI RAIS MAGUFULI ALIPOFANYA MAHOJIANO MAALUM NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Posted by Esta Malibiche on Nov 4,2016 In NEWS

mina1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini na kuvitaka kuungana pamoja na serikali ya awamu ya tano katika kuwaletea wananchi maendeleo kwa kuandika habari zenye maslahi kwa taifa.PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
mina2 mina3
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Mrisho akiwa katika ukumbi wa mkutano wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofanya mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina4
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania Dkt. Ayoub Rioba akiongea jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Tv Bw. Tiddo Muhando wakati wa mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina5
Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Tv Bw. Tiddo Muhando akiongoza mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina6
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania Dkt. Ayoub Rioba akiongoza mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina7
Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari wakimuuliza maswali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina8
Mkurugenzi wa Mtandao huu Bw. John Bukuku akimuuliza swali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mahojiano ya moja kwa moja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini
mina9 mina10 mina11
Wasanii Mrisho Mpoto na Banana Zoro wakitoa burudani wakati wa mkutano maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wahariri pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.
mina12
mina13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waandishi waliohudhuria mkutano maalum na wahariri pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.
mina14 mina15
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waandishi waliohudhuria mkutano maalum na wahariri pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.
mina16
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na waandishi waliohudhuria mkutano maalum na wahariri pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini.
mina17 mina18

0 maoni:

Chapisha Maoni