Jumamosi, 12 Novemba 2016

Baadhi ya Mawaziri na viongozi mbalimbali wahani msiba wa aliyekuwa Spika mstaafu Samweli Sitta, Urambo mkoani Tabora.

Posted by Esta Malibiche on Nov 12,2016


Waziri wa -WHUSM, Mhe.Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Spika mstaafu Mhe.Samwel Sitta.


Naibu Waziri-WHUSM,Mhe.Anastazia Wambura akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Spika mstaafu Mhe.Samwel Sitta.


Matukio katika picha Mhe.Waziri Nape Nnauye aliposhiriki kuhani msiba wa Mhe.Spika mstaafu Samwel Sitta.

0 maoni:

Chapisha Maoni