Posted by Esta Malibiche on Nov 21,2016 in NEWS
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na baadhi
ya Watendaji wa Serikali katika Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wakati wa
ziara yake ya kutembelea vituo na shule za watu wenye Ulemavu tarehe 20
Novemba, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na baadhi ya
watendaji wa Serikali (hawapo pichani) katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
ya Busega Mkoani Simiyu alipofanya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe.
Tano S. Mwera akizungumza na watendaji wa Kituo cha kulelea watoto wenye
ualbino cha Lamadi (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi
Novemba 20, 2016 Mkoani Simiyu.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi akipokea mafuta maalumu ya
ngozi kwa watu wenye ualbino kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha kuhudumia
watoto wenye Ualbino cha Lamadi Bi. Hellen Ntambulwa ikiwa ni sehemu ya
zawadi kwa ziara yake kituoni hapo. Novemba 20, 2016
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya watoto wenye ualbino wanaolelewa na Kituo cha Lamadi
Wilayani Busega Mkoa wa Simiyu.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akimsikiliza Mwandishi wa
habari wa ITV Bw. Berensi China wakati wa ziara yake Kituo cha kulelea
watoto wenye Ualbino cha Lamadi Simiyu.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 maoni:
Chapisha Maoni