Alhamisi, 17 Novemba 2016

PROF. MBARAWA AHIMIZA SEKTA BINAFSI KUWEKEZA NCHINI

Posted by Esta Malibiche on Nov 17,2016 in BIASHARA
 ux3
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga akitoa hotuba wakati wa Ufunguzi wa mkutano wa 10 wa Mashauriano wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi, jijini Dar es Salaam.
ux4
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Bi.  Tonia Kandiero, akitoa hotuba wakati wa Ufunguzi wa mkutano wa 10 wa Mashauriano wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi, jijini Dar es Salaam.
ux5
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bi. Tonia Kandiero, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 10 wa Mashauriano wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi, jijini Dar es Salaam.
ux6
Washiriki wa Mkutano wa 10 wa  Mashauriano  wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa  mkutano huo, jijini Dar es Salaam.
ux7
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa maendeleo alipofungua mkutano Mkutano wa 10 wa  Mashauriano  wa Sekta ya Uchukuzi, jijini Dar es Salaam.
ux1
ux2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Dkt. Leonard Chamuriho akitoa hotuba wakati wa Ufunguzi wa mkutano wa 10 wa Mashauriano wa wadau wa Sekta ya Uchukuzi, jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni