Jumanne, 8 Novemba 2016

MAJALIWA ASALIMIANA NA WALEMAVU BUNGENI

wale1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watu Wenye Ulemavu kutoka Dar es salaam kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba  8, 2016. Watu hao Wenye Ulemavu ni miongoni mwa wengi waliotembelea bunge.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
wale2

0 maoni:

Chapisha Maoni