Jumamosi, 12 Novemba 2016

SPIKA NDUGAI ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SITTA URAMBO, TABORA

Posted by Esta Malibiche on Nov,12.2016 in SIASA


dg8


dg1
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Aggrey Mwanri mara baada ya kuwasili Mkoani humo kushiriki mazishi ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta.
dg2
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiwasili Nyumbani kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta Urambo, Tabora kushiriki mazishi ya Spika huyo Mstaafu.
dg3
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Y. Ndugai akimpa pole Hajjat Zuwena Fundikira Mama wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta,
dg4
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimpa pole Mhe Magreth Sitta  Mjane  wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta  wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
dg5
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
dg6
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
dg7
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa salama za rambirambi wakati wa mazishi wa  aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta
dg8
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta.
dg9
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta

0 maoni:

Chapisha Maoni