Posted by Esta Malibiche on Nov 14,2016 in NEWS
Wajumbe
wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na
usalama wa safari za anga Tanzania,(TAISOA) wakifuatilia hotuba ya
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA, Hamza
Johari (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao mkuu wa 19
wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari
(katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa idara ya uongozaji ndege na huduma za
Ufundi Gideon Msheri (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa
Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na
usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) Aminiel Ombeni wakati
alipokuwa akitoa taarifa za chama hicho kwenye ufunguzi wa mkutano wao
mkuu 19 wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari,
akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa mwaka wa
wanachama wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za
uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) uliofanyika
jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa idara ya
uongozaji ndege na huduma za Ufundi ,Gideon Msheri , Mwenyekiti wa Chama
cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama
wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) Aminiel Ombeni na Kaimu Mkuu wa
Kitengo cha taarifa za uongozaji na Usalama wa safari za anga, Obeid
Dabana.
Wajumbe
wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na
usalama wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) wakiwa kwenye mkutano wao
mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (watatu
kutoka kulia waliokaa kwenye viti) akiwa kwenye picha ya pamoja na
wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za
uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) mara baada ya
kufungua mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari
(katikati waliosimama mstari wa mbele) akiwa kwenye picha ya pamoja na
wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za
uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) baada ya
kufungua mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni