Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kufuatia ajali ya iliyosabaisha vifo vya watu 18 kilichotokea kijiji cha Salala, Mkoani Shinyanga. Katika salamu zake, Rais Magufuli amesema amepokea taarifa za vifo vya watu hao kwa masikitiko makubwa …
Taarifa ya Ikulu iliyotumwa mapema leo