Jumatano, 16 Novemba 2016

MBUNGE WA VITI MAALUM CCM MKOA WA PWANI SUBIRA MGALU ASHIRIKI MAFUNZO YA UFUATILIAJI WA MATUMIZI YA RUZUKU KWA UMMA

Posted by Esta Malibiche on Nov 16,2016 in NEWS



#BAGAMOYO
Mbunge wa viti Maalum CCM Subira Mgalu ameshiriki mafunzo ya Ufuatiliaji wa Matumizi ya Ruzuku ya Umma kwa ajili ya Maendeleo ya Sekta ya Afya ya Mama na Mtoto,yaliyotolew na Mtandao wa Maendeleo  ya Wanawake Wilaya ya Bagamoyo (BAWODENE ) Mkoani Pwani.
 Mafunzo hayo yameshirikisha  Wadau mbalimbali wakiwemo Wakunga wa Jadi , Maafisa Maendeleo ya Jamii , Wahudumu wa Wagonjwa Majumbani , Watu Maarufu na WaheshimiwaMadiwani,yaliyofadhiriwa na Asasi ya Civil Society Foundation.
 ‘’’’’Ahsanteni Mtandao wa Maendeleo ya Wanawake Bagamoyo kunishirikish a Bagamoyo bila ya Vifo vya Kina Mama na Watoto inawezekana’’’Alisema Mgalu









0 maoni:

Chapisha Maoni