Posted by Esta Malibiche on Nov 12,2016 in NEWS
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mwakilishi wa Ubalozi wa Norwaya Bw. Victor Mlundo wakati wa kuzindua
majengo mapya ya Wodi ya Watoto Kinamama katika Hospitali ya Mnazi
mmjoja uliofanyika leo .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha kulelea Watoto wachanga
wakati alipotembelea majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika
Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya uzinduzi rasmi leo,(wa pili kulia)
mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend Bw.Eivend
Hansen wakikata utepe kuzindua jengo la Wodi ya Watoto wakati wa
uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto uliofanyika leo
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo mara alipowasili
katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika
Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizari ya Afya Nd,Halima Maulid
mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na
Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Viongozi
wengine mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya
Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
0 maoni:
Chapisha Maoni