Jumatatu, 28 Novemba 2016

RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU ATEMBELEA MRADI WA TAZAMA PIPELINE


Posted by Esta Malibiche on Nov 28,2016 in NEWS
1
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akiingia katika eneo la Mradi wa Bomba la Mafuta unaoshirikisha Tanzania na Zambia (TAZAMA) kuangalia shughuli za usafirishaji zinavyofanyika.Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
2
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akipata maelezo kuhusu mradi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Zambia(TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.
3 4 5
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akiuliza swali kwa mmoja wa wafanyakazi wa TAZAMA wakati alipotembelea mradi wa bomba la mafuta wa ushirikiano kati ya Tanzania na Zambia (TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.
9
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa wafanyakazi wakati alipotembelea mradi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Zambia (TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo
8679-rais-zambia-akiongea-na-wafanyakazi
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa  mradi wa bomba la mafuta  kutoka Tanzania mpaka Zambia(TAZAMA) baada ya kufanya ziara katika mradi huo leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
10
Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo akiondoka katika eneo la mradi wa kusafirisha   mafuta kutoka Dar es Salaam mpaka Zambia Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni