Jumatano, 23 Novemba 2016

VIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA SHANGA

Posted by Esta Malibiche on Nov 23,2016 in NEWS

Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki yanayoendelea kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog

0 maoni:

Chapisha Maoni