Jumatano, 23 Novemba 2016

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA PALESTINA

Posted by Esta Malibiche on Nov 23,2016 in NEWS

pales1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
pales2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
pales3
 Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni