Jumatano, 23 Novemba 2016

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA TUCTA MJINI DODOMA

Posted by Esta Malibiche on Nov 23,2016 in NEWS

tami9
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

tami1
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
tami3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana  (wapili kulia)  katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama   (kulia), na Rais  wa  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba (kulia) wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa  Sita wa  TUCTA, Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami4 tami5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi  (TUCTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu   Mkuu  Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama    na kushoto kwake ni  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami6
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Sita wa  Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA) wakiimba wimbo wa Mshikamano kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami7
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu   Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama   akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
tami8
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba  akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )

tami10
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami11
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami12
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wananchama wa TUCTA baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi,  Ajira , Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama na kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Angela Kairuki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tami13 tami14
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ulumbi Shani ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama  vya Wafanyakazi (TUKTA)  uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni