Posted by Esta Malibiche on NOV 8,2016 in NEWS
Waitara: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA ambaye pia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu
wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael
Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumanne Oktoba 8, 2016
Picha na IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni