Ijumaa, 15 Julai 2016

MBUNGE WA VITI MAALUM MKOANI IRINGA RITHA KABATI ATEMBELEA KITUO KIDOGO CHA POLISI SEMTEMA IRINGA

 Postedy by Esta Malibiche on 16.7.2016  
Mbunge wa viti maalum Ritha Kabati akimkabidhi  Kamanda wa polisi Mkoa wa Iringa Peter Kakamba Jagi linalotumia umeme
Mbunge Kabati akimkabidhi kamana wa polisi mkoa wa Iringa Peter Kakamba Vifaa vya usafi


Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritha Kabati akiwa katika picha ya pamoja na askali polisi alipowatembelea katika kituo kidogo cha polisi semterma Manispaa ya Iringa
Picha kutoka maktaba ya Mbunge

0 maoni:

Chapisha Maoni