Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakiwashukuru wananchi
waliojitokeza kuchangia ujenzi na ukarabati wa Shule ya Sekondari ya
Lindi iliyoungua moto hivi karibuni.
Harambee hiyo ilifanyika
kwenye viwanja vya shule hiyo mjini Lindi Julai 17, 2017. Kushoto kwa
Waziri Mkuu ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. |
0 maoni:
Chapisha Maoni