Mwanamuzi
wa mziki wa dansi, Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani mbele
ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipofika ofisini kwake
leo, kuzungumzia Tamasha la muziki huo litakalofanyika Jumamosi Viwanja
vya Leaders ambalo litashirikisha bendi 10 maarufu za hapa nchini.
Baadhi wa wadau wa muziki wa dansi na wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mdau
wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu
tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi kufanyika hapa nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa dansi nchini.
Mkutano ukiendelea.
RC Makonda akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa dansi baada ya kuzungumza nao ofisi kwake.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-)
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-)
0 maoni:
Chapisha Maoni