Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Said Bakar Jecha kuwa Kamishna wa Tume ya
Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bibi Septuu Mohamed Nassor kuwa Kamishna wa Tume
ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Dk.Juma Yakout Juma kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa
Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathmini) katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Ndg.Tahir Mohamed Khamis Abdulla kuwa Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa
Haji Ussi (Gavu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman wakiwa ni miongoni mwa
Viongozi waliohudhuria katika kuapishwa Viongozi mbali mbali leo Ikulu
Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.] 25/07/2016.
0 maoni:
Chapisha Maoni