Mwenyekiti
Mpya wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dk. Jakaya
Kikwete mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM.
Mwenyekiti
Mpya wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dk. Jakaya Kikwete
wakiwapungia mikono wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM baada ya
wajumbe hao Kumthibitisha kuwa Mwenyekiti wa awamu ya Tano Kwa kumpigia
kura zote za ndiyo wajumbe waliopiga kura ni 2395 kura zilizoharibika ni
0 na Mwenyekiti Dk. John Pombe Magufuli ameshinda kwa kwa kupigiwa kura
zote 2395, Lakini pia mwenyekiti huyo ameamua kuendelea na Katibu Mkuu
Abdulrahman Kinana na Sekretarieti nzima iliyokuwa chini ya Mwenyekiti
Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete.
Mwenyekiti
Mpya wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli akikabidhiwa ripoti ya uchaguzi uliopita na Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM Dk. Jakaya Kikwete.
Mwenyekiti
Mpya wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli akisikiliza machache kutoka kwa Mwenyekiti Mstaafu wa
CCM Dk. Jakaya Kikwete kabla ya kukabidhiwa ripoti hiyo.
Mwenyekiti
Mpya wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli akipokea ilani ya uchaguzi kutoka kwa Mwenyekiti Mstaafu
wa CCM Dk. Jakaya Kikwete.
Viongozi wastaafu wakiwa katika
mkutano huo kutoka kushoto ni Mzee John Samwel Malecela, Mzee Amani
Abeid Karum, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Mohamed Gharib Bilal na Mzee
Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa Chama cha TLP Ndugu Agustino Mrema akiwasliana na wake wa viongozi wastaafu.
Baadhi ya wajumbe wakishangilia mara baada ya mkutano huo kumthibitisha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM.
Mwanachama
wa CHADEMA Mgana Msindai akiwapungia mkono wajumbe wa mkutano mkuu wa
CCM baada ya kurejea CCM alipotangaza rasmi kwenye mkutano mkuu huo.
Mgana Msindai akielekea jukwaani ili kutangaza nia yake ya kurejea CCM leo kwenye mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma.
Freddy
Mpendazoe aliyekuwa mwanachama wa chama cha CHADEMA akitangaza nia yake
ya kurejea CCM kwenye mkutano mkuu wa Chama hicho uliofanyika mjini
Dodoma leo.leo.
0 maoni:
Chapisha Maoni