Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akitembelea nyumba za gharama nafuu Uyui zilizopo Isikizya wilayani
Uyui, Tabora ambapo ameiagiza Halmashauri ya Uyui kulipia nyumba
zilizojengwa na NHC ili watumishi wake waweze kuhamia. Kushoto kwake ni
Meneja wa NHC mkoani Tabora, Dickson Ngonde.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tabora muda mfupi baada ya
kutembelea nyumba za gharama nafuu Uyui ambapo ameiagiza Halmashauri ya
Uyui kulipia nyumba zilizojengwa na NHC ili watumishi wake waweze
kuhamia. PICHA ZOTE ZA KITENGO CHA MAWASILIANO KWA UMMA NA HUDUMA KWA
JAMII CHA NHC.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akisikiliza taarifa kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Ardhi Tabora, Bw. Biseko
Musiba wakati Waziri huyo alipofanya ziara katika mkoa wa Tabora na
kujione hali ya maendeleo ya sekta ya ardhi mkoani humo pamoja na
kutembelea miradi ya maendeleo ya taasisi zake.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akimsikiliza Kamishna Msaidzi wa Kanda ya Magharibi, Dorothy Wanzala
wakati akikagua masjala ya ardhi ya Tabora.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akisoma mojawapo ya mafaili yaliyopo katika masjala ya Ardhi huku
Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Magharibi, Dorothy Wanzala akishuhudia.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Tabora muda
mfupi baada ya kufika katika ofisi hizo.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula
akizungumza na watumishi mbalimbali wa sekta ya ardhi mkoani Tabora.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina
Mabula akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Tabora
muda mfupi baada ya kufika katika ofisi hizo.
0 maoni:
Chapisha Maoni