Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akipokelewa na
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku (Msukuma) mara baada ya kuwasili
katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Geita ,Herman Kapufi mara baada ya kuwasili katika
Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii katika Shirika la Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa cha Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ,Missana
Mwishawa muda mfupi baada ya kuwasili katika hifadhi hiyo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na
baadhi ya watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
0 maoni:
Chapisha Maoni