Postedy by Esta Malibiche on July 27 in News
Mjane wa marehemu Daudi Mwangosi Itika Mwangosi mwenye kilemba cheusi akiwa katika foleni ya ukaguzi wa polisi ili kuingia mahakama kuu kanda ya Iringa leo |
Mjane wa marehemu Daudi Mwangosi Itika Mwangosi mwenye kilemba cheusi akiwa katika foleni ya ukaguzi wa polisi |
Mjane wa marehemu Daudi Mwangosi Itika Mwangosi mwenye kilemba cheusi akifurahi jambo na ndugu yake mzee Marko Mfugale mahakamani hapo leo |
Rais wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania Bw Deo Nsokolo akizungumza na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya mauwaji ya Mwangosi |
Wanahabari mkoa wa Iringa wakimsikiliza Rais wa UTPC Deo Nsokolo leo katika viwanja vya mahakama |
Wanahabari wakiwa nje ya viwanja vya mahakama baada ya kesi kumalizika |
Mjane wa Mwangosi Itika Mwangosi mwenye kilemba akitoka mahakamani hapo huku akiwa na uso wa furaha baada ya hukumu kutolewa kwa muuaji kufungwa miaka 15 jela |
Mjane wa Mwangosi akiwa katika viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa |
Mjane wa marehemu Daudi Mwangosi akizungumza na wanahabari ikiwa ni pamoja na kuwashukuru kwa umoja wao |
Rais wa UTPC Deo Nsokolo akiwa na mtaalam wa IT Lukelo Mwaipopo leo nje ya mahakama kuu kanda ya Iringa |
0 maoni:
Chapisha Maoni