Mabalozi
kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM
unaofanyika mjini Dodoma sasa ili kumthibitisha Rais Rais wa Jahuri ya
Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM
Taifa akipokea uongozi huo kutoka kwa mtangulizi wake Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi
Dk. Jakaya Kikwete, Wajumbe wengi wamehudhuria katika mkutano huo
wanatarajia kupiga kura hiyo leo PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika mjini Dodoma sasa hivi.
Baadhi ya wake wa viongozi waliohudhuria katika mkutano huo
Baadhi ya viongozi wastaafu
wakipitia gazeti la uhuru lenye makala maalumu ya Dk. John Pombe
Magufuli anayetarajiwa kuthibitishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Cma cha
Mapinduzi CCM.
Wajumbe kutoka Zanzibar wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe kutoka mkoa wa Morogoro nao hawakuwa nyuma kupitia makala ya Gazeti la Uhuru leo.
Mwimbaji wa kundi la Hamasa la CCM TOT Bi. Khadija Kopa na waimbaji wenzake wakitumbuiza katika mkutano huo.
Mmoja wa waalikwa akipata kumbukumbu katika mkutano huo.
Kundi la Hamasa la TOT likiendelea na burudani katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wakiongozwa na
Mjumbe Angela Kairuki kutoka mkoa wa Dar es salaam wakiserebuka kabla ya
kuanza kwa mkutano huo.
Dk. Fenella Mukangara kutoka mkoa wa Dar es salaam na Tambwe Munde kutoka mkoa wa tabora wakiserebeka pamoja na wajumbe wenzao.
Mjumbe Munde Tambwe akisalimiana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuf Makamba.
Mjumbe Fredrick Mwakalebela kutoka mkoa wa Iringa akiwa na wajumbe wenzake.
TOT ikiendelea kutumbuiza
Mwakipesile na Mary Mwanjelwa Wajumbe kutoka mkoani Mbeya wakisalimiana kwa furaha.
0 maoni:
Chapisha Maoni