Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete
akizungumza na wananchi na wafuasi wa Chama cha Mapiduzi katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika
wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
akizungumza na wananchi na wafuasi wa Chama cha Mapiduzi katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika
wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Wananchi na wafuasi wa Chama cha Mapiduzi wakimsikiliza Mwenyekiti
Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika wilaya
ya Bagamoyo.PICHA NA MICHUZIBLOG
Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika wilaya
ya Bagamoyo.PICHA NA MICHUZIBLOG
……………………………………………………………………………………………………………
Na David John Pwani
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete
amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi
ikiwa salama tulii kabisa.
amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi
ikiwa salama tulii kabisa.
Amesema kuwa safari yake ya urais ilianzia Bagamoyo akitokea wilayani hapo ambapo baada ya hapo
alikwenda Kibaha kutangaza nia ya kugombea urasi nakudai kuwa amejisikia
flaha kurudi tena Bagamoyo akiwa salama.
alikwenda Kibaha kutangaza nia ya kugombea urasi nakudai kuwa amejisikia
flaha kurudi tena Bagamoyo akiwa salama.
Amesema wakati akielekea kutanga nia ya kugombea urais alikuwa na mtoto wake Ridhiwani
Kikwete ambapo yeye alikuwa anaandika na Ridhiwani anachapa kwenye
Komputa.
Kikwete ambapo yeye alikuwa anaandika na Ridhiwani anachapa kwenye
Komputa.
Dkt.Kikwete ameyasema hayo leo
wilayani Bagamoyo katika hafla ya kumkaribisha Nyumbani baada ya
kuitumikia nchi Kwa miaka mingi, ambapo iliandaliwa na Chama Cha
Mapinduzi Mkoa wa Pwani.
Alisema.anashukuru Kwa Mara nyingine kurudi mahala alipoazia na kwamba amemaliza salama na
ameacha nchi ikiwa salama na imetulia tulii kama Maji kwenye mtungi. Akikumbuka mchakato wa mwakajana wa kumpata Mgombea ulikuwa na mambo mengi lakini mambo yalikwenda salama na hakuna lililokuwa limeharibika .

“Ilikuwa Kazi kubwa si ndogo
lakini hatimaye wa kavuka na wakaingia kwenye uchaguzi ambao ulikuwa na
vurumayi”amesema Dkt.Kikwete .Aidha amesema kuwa hata hivyo katika
uchaguzi huo kulikuwa hakuna mtu
ambaye alipatwa na tukio la kumpiga mwezake hali ambayo iliwashangaza
hata nchi jirani.
ambaye alipatwa na tukio la kumpiga mwezake hali ambayo iliwashangaza
hata nchi jirani.
Alisema kuwa katika kipindi chake
cha uongozi amefanya kazi kubwa ya kusukuma maendeleo ya wananchi Kwa
mikoa yote,wilaya zote bila ubaguzi wowote ule huku akikiri kukabiliana
na Changamoto ya kunyoshewa vidole hususani pale alipojalibu kupeleka
maendeleo Wilayani Bagamoyo konakamba wananchi wa Bagamoyo walikuwa
hawana haki.
Aidha Dkt.Kikwete alisema kuna
wakati alisimamisha fedha za ujenzi wa barabara hiyo na kupeleka fedha
hizo kujenga barabara ya Geita, Sengerema,usagala ,na kulizuka na Maneno
mengi dhidi yake na
hadi kufikia wabunge kulumbana.
hadi kufikia wabunge kulumbana.
Amesema hata hivyo anashukuru
kwamba amemaliza salama na Kwa Bahati nzuri amepatikana rais ambaye ana
ari kubwa ya kuwaletea maendelea watu huku akitaka watanzania kumuunga
mkono. Wanachana
mkono. Wanachana
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani leo wamejitokeza Kwa wingi kumkaribisha nyumbani
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho Dkt.Jakaya Kikwete katika sherehe zilizofanyika wilayani Bagamoyo. Wanachama hao ambao walitoka katika wilaya zote za Mkoa wa Pwani wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa Masikuzi. pamoja na Katibu Joyce Masunga walimuaga na kumkaribisha
Kwa nyimbo mbalimbali.

0 maoni:
Chapisha Maoni