|
Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo wakati wa
mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini (hawapo
pichani) waliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo katika ofisi ya
Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. |
|
Afisa
Utamaduni Bodi ya Filamu, Bw. Romanus Tairo akielezea jambo wakati wa
mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa
nchiniwaliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo katika ofisi ya
Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. |
|
Mwakilishi
wa Wahifadhi kazi za Sanaa, Bw. Frank Pangoni (kushoto) akifafanua
jambo wakati wa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. |
|
Mkurugenzi
Kampuni ya Salt Inc, Bw. Edwin Musiba akifafanua (kulia) jambo mbele ya
Wasambazaji kazi za Sanaa wakati wa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa
Bodi ya Filamu yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. |
|
Mwakilishi
wa Wauzaji DVDs Mikononi, Bw. Jumanne China (kulia) akieleza jambo
mbele ya Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu wakati wa mazungumzo
yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam katika ofisi hiyo. |
|
Mwakilishi
wa Wauzaji wa Jumla wa kazi za Sanaa, Bw. Augustino Karia (wa pili
kushoto) akimweleza jambo Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu wakati wa
mazungumzo yaliyofanyika leo
25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam katika ofisi hiyo. |
(Picha zote na Benedict Liwenga)
0 maoni:
Chapisha Maoni