Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Oliva Joseph Mhaiki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)
Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Winfrida Gaspa Rutaindurwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu
(TSC) Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)
Oliva Joseph Mhaiki (kushoto) pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa
Walimu (TSC) Winfrida Gaspa Rutaindurwa (kulia) mara baada ya kuwaapisha
) katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)
Oliva Joseph Mhaiki (watatu kutoka kushoto) pamoja na Katibu wa Tume ya
Utumishi wa Walimu (TSC) Winfrida Gaspa Rutaindurwa (watatu kutoka
kulia) mara baada ya kuwaapisha. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa , Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI
Seleman Jafo.
0 maoni:
Chapisha Maoni