11:24
Picha kutoka maktaba ya Mkurugenzi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya kondoa Mkoani Dodoma Falessy Kibasa amepokea leo hii mchango wa Madawati kiasi cha Mill.8 kutoka shirika la Taifa la hifadhi ya jamii PSPF ,pamoja na mashuka 200 kwa ajili ya hospitali
0 maoni:
Chapisha Maoni