Jumanne, 26 Julai 2016

MWANAFUNZI APIGWA KWA KUKUTWA FACEBOOK.


Mwanafunzi Sara Sulle wa kidato cha nne shule ya Sekondari Malama Mkoani Mbeya amelazwa katika hospitali teule ya Ifisi Mbalizi kwa siku tano baada ya kupigwa na walimu wanne kwa kosa la kukutwa katika mtandao wa Facebook.

 Baadhi ya Majeraha aliyoyapata maeneo ya miguu.

Majeraha aliyoyapata mkononi.

0 maoni:

Chapisha Maoni