Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini DAVIS KISAMO na katibu wa chama cha mpira iringa vijijini JUMA LALIKA wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu shiriki
|
Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini, DAVIS KISAMO akizungumza na baadhi ya viongozi wa timu shiriki zinazoshiri ligi ya wilaya ya iringa vijijini. |
Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini DAVIS KISAMO akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwakabidhi vifaa vya michezo kwa viongozi wa chama cha mpira wa miguu iringa vijijini |
0 maoni:
Chapisha Maoni