Jumatano, 20 Julai 2016

DC MUHEZA AWATAKA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA SAMAKI KUHAMIA ENEO LA SOKO LA MICHUNGWANI

Postedy by Esta Malibiche on July 20 in News

Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia
akizungumza na wafanyabiashara wa samaki katika soko la kuuzia samaki
wabichi na wakavu ambalo limevunjwa na kutakiwa kuhamia kwenye soko la
michungwani ambalo limejengwa kwa ubora kwa ajili ya kufanya shughuli
zao



Mfanyabiashara wa soko la samaki la
kulia akimuonyesha mkuu wa wilaya ya Muheza,
Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo kitu wakati alipotembelea soko la kuuzia samaki wabichi
na wakavu ambapo aliwataka wafanyabiashara hao kuondoka eneo hilo
kuhamia eneo la michungwani.


Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo
akisisitiza jambo kwa wafanyabiashara wa soko la samaki wabichi na
wakavu kuhusu kuondoka eneo hilo na kuhamia soko la michungwani ambalo
limejengwa kwa ubora mzuri kwa ajili ya kufanyia biashara zao



Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani
Tanga

Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akimsikiliza mmoja wa
wafanyabiashara ya samaki katika soko la kuuzia samaki wilayani humo
ambao waliamuriwa kuhamia kwenye soko la Michungwani ambalo limejengwa
kwa ubora kwa ajili ya shughuli zao.

0 maoni:

Chapisha Maoni