MBUNGE wa jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya
Haroun Mulla amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla trekta ndogo “Power
Tiller’ 102 zenye thamani ya Sh Milioni 510 zikiwa na lita 10 za mafuta kila
moja kwa ajili ya shughuli za kilimo katika vijiji 102 vya jimbo hilo.
Mbali na kutoa msaada huo wa kila kijiji
lakini pia Mbunge huyo alitoa trekta kama hizo mbili kwa Gereza la Rujewa
ambapo alieza kuwa zitatumika katika shughuli mbalimbli ikiwemo kilimo na pamoja
na kuchotea maji kwa ajili ya wafungwa.
Akikabidhi msaada huo Mulla alisema
kuwa wilaya ya mbarali ni wilaya ya kilimo na
0 maoni:
Chapisha Maoni