Posted by Esta Malibiche on Nov 7,2016 in SIASA
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea
mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine
waliyozungumza Balozi huyo alimpa Mhe Spika pole kufuatia Kifo cha Spika
Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta .
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke wakati
akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimueleza jambo Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea
mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia
Ackson akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke
aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia
Ackson akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke wakati
akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana kwa dharura kujadili
kuhusu hoja ya kuahirisha Bunge kufuatia kifo cha Spika Mstaafu wa
Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta ambapo Kikao hicho kiliridhia Bunge
liahirishwe ili Waheshimiwa Wabunge wapate muda wa kuomboleza kufuatia
Msiba huo.
Picha na Ofisi ya Bunge.
Picha na Ofisi ya Bunge.
0 maoni:
Chapisha Maoni