Jumatatu, 7 Novemba 2016

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA LEO

Posted by Esta Malibiche on Nov 7,2016 in NEWS
taf5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

taf4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanakwaya wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

taf2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
taf3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanakwaya wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

taf6
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju  akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa  Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
taf7
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka  baada ya kuahirisha  kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba  7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
taf8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa  katika picha ya pamoja na  wanakwaya wa  Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kushoto  kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
taf9
Wabunge wakizungumza baada ya bunge kuahirishwa  mjini Dodoma Novemba 7, 2016  kufuatia kifo cha Spika Mstaafu,Samuel Sitta. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura,  Mbunge wa Viti Malum Felista Bura, Mbunge wa Viti Maalum, Shally Josepha Raymond, Mbunge wa Musoma Mjini Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi  na Tekinolojia, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Busanda, Lolesia `Bukwimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni