Posted by Esta Malibiche on Nov 7,2016 in NEWS
Mtangazaji
wa Kipindi cha THE MBONI SHOW kinachoandaliwa na Kampuni ya Chocolate
Princes na kurushwa na TBC1, Mboni Masimba, akizungumza kwenye Kongamano
la SAUTI YA MWANAMKE lililofanyika jana Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Kongamano
hilo lililenga kuwakutanisha wanawake Jijini Mwanza kupata elimu ya
kujikwamua kiuchumi katika masuala mbalimbali ikiwemo
biashara/Ujasiriamali pamoja na mahusiano katika ndoa.
Mboni
alisema Kongamano hilo litakuwa likifanyika kila mwaka kama sehemu ya
shukurani kwa watazamaji wa kipindi cha The Mboni Show katika kuwainua
wanawake nchini ambapo wanawake mbalimbali waliofanikiwa kimaendeleo
wanazungumza na kuwahamasisha wanawake wengine kimaendeleo.
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza,Mary Tesha, alipongeza kongamano
hilo kutokana na elimu inayotolewa katika kumhamasisha mwanamke
kimaendeleo ambapo aliwataka wanawake kuendelea kujiunga na vikundi vya
kimaendeleo ili kuhakikisha wananufaika na mikopo kutoka halmashauri
husika inayotokana na asilimia tano ya mapato yake pamoja na ahadi ya
Rais Magufuli ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji/mitaa.
Na BMG

Bi.Chau akiwafunda wanawake Jijini Mwanza
Mkandarasi
Maida Waziri ambaye ni mkandarasi bora mwanamke nchini tangu mwaka 2011
hadi 2015, akiwa pia ni Mkurugenzi wa kamppuni tano, akiwahamasissha
wanawake Jijini Mwanza katika suala la kimaendeleo.
Mchekeshaji Katarina Wa Karatu akinogesha Kongamano la Wanawake Jijini Mwanza.
Mwimbaji Zarry Edosha akitumbuiza
Mwimbaji wa muziki wa taarabu Isha Mashauzi akitumbuiza
Taswira ukumbini
Mc Zipompa (kushoto) na Mboni Masimba (kulia) pamoja na wazungumzaji wengine
Wanawake Jijini Mwanza wakifurahia Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Mtangazaji
wa Lake Fm, Carol Mwaipungu pamoja na wanawake wengine wakiwa
wakifurahia Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Wasaa wa chakula cha usiku
Chakula kilipikwa kwa ustadi murua
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Mgeni Rasmi (DC Nyamagana, wa tatu kulia) akiwa na timu ya Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Mboni Masimba (kushoto) akiwa na wadau wake
Mboni Masimba (kulia) akiwa na wadau wake
Zarry Edosha (kushoto) na George Binagi-GB Pazzo (kulia)
Mboni Masimba (kushoto) na George Binagi-GB Pazzo (kulia)
Mkurugenzi wa Dida Vitenge Wear
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake.
Hakika Sauti ya Mwanamke ni Sauti ya Jamii, Ipe nafasi kwa Maendeleo.
Bonyeza HAPA Kutazama Washiriki
0 maoni:
Chapisha Maoni