Jumanne, 5 Julai 2016

TFDA kudhibiti madahara ya Dawa

T1Meneja Uhusinao wa mamlaka ya Chakula naD awa (TFDA) Bi. Gaudensia Simwanza (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mkakati wa Mamlaka hiyo kudhibiti madahara ya Dawa ikiwa ni moja ya majukumu yake ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa Salama.kushoto ni Afisa Usajili wa  Dawa  kutoka  TFDA Dkt. Alex Nkyamba.
T2Afisa Usajili wa  Dawa  kutoka  TFDA Dkt. Alex Nkyamba akionesha kwa waandishi wa habari fomu inayotakiwa kujazwa na wananchi pale wanapopata madhara yatokanayo na dawa Leo Jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na vyombo vya habari.Kulia ni Afisa Uhusinao wa mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi. Gaudensia Simwanza
T3Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)  na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
 (Picha na Maelezo)

0 maoni:

Chapisha Maoni