![]() |
| Shekh Hija wa Den Haag nchini Uholanzi{kushoto}akiwa na ndugu,jamaa na marafiki mapema leo asubuhi nyumbani kwake ili kufungua kinywa kwa maakuli matamumatamu |
![]() |
| Mapema leo asubuhi Shekh Hija akiwa na familia yake ndugu,jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake kufungua kinywa kwa kusheherekea sikukuu tukufu ya Eid el fitr |
![]() |
| Hija family |
![]() |
| Shekh Hija na familia yake wakipata kumbukumbu ya pamoja na wageni wake ambao leo hii mapema asubuhi walijumuika pamoja katika kupata staftahi nyumbani kwa Hija |
![]() |
| Mr n' Mrs Hija |
![]() |
| Le Hija Familie |
![]() |
| Ndugu,jamaa na marafiki wa Hija ambao leo asubuhi walipata staftahi nyumbani kwa Hija. |
![]() |
| Shekh Hija na mkewe waliandaa mapochopocho hayaa asubuhi ya leo |
![]() |
| Watoto wazuri ambao ni mapacha kutoka Den Haag nchini Uholanzi,hapa tunawazungumzia Paris na Milan ambao ni watoto wa Shekh Hija. |















0 maoni:
Chapisha Maoni