Jumatano, 6 Julai 2016

PICHA: SWALA YA EID -FITR ILIYOFANYIKA LEO VIWANJA VYA MWENBE YANGA DAR


Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed- El- Fitr iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo.Mratibu wa swala hiyo ya Ed El-Fitr, Sheikh Othman Abdallah Dishi (kulia), akizungumza katika swala hiyo.Watoto wakishiriki swala hiyo.Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo.Ibada ikiendelea.Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr.Waumini wa dini ya kiislam wakiswali kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwa unyenyekevu mkubwa katika swala hiyo.
 
 Katika kushereea sikukuu ya Eid El Fitr, kumefanyika swala ya Eid katika viwanja vya Mwembe Yanga, Dar es Salaam na waumini wa dini ya Kiislam walipata nafasi ya kusali kwa pamoja kumshukuru Mungu kwa kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhani salama.
 

0 maoni:

Chapisha Maoni