Jumanne, 5 Julai 2016

RC IRINGA AWAAPISHA WAKUUU WA WILAYA WAPYA LEO

by Esta Malibiche on July 5, 2016 


Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamuhuri Wilaiyum akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Iringa

 Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Iringa
mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akitoa nasaha kwa wakuu wapya wa wilaya leo 

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza amewaapishwa wakuu wa wilaya watatu wa mkoa wa Iringa na kuwakabidhi Irani ya chama cha mapinduzi ccm ili kutekeleza  mambo mabalimbali ikiwemo  kupambana na njaa pamoja na migogoro ya mbalimbali inayowakabili wananchi.

Walioapishwa jana ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richad Kasesela,Mkuu wa Wilaya ya Mufindi  Jamhuri  William na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdallah.

Akizungumza mara baada ya kuwaapisha wakuu hao, Mkuu huyo wa mkoawa Iringa  alisema ni muhimu viongozi hao wakatambua kuwa serikali ya awamu ya tano inadhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi na kwamba wajibu wao ni kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao bila ya upendeleo wowote.

“Serikali ya awamu  ya tano indhamiraya dhati ya kutumikia wanchi,hivyo nanyi katika maeneo yenu ya kazi mnapaswa kuhakikisha  mtaskeelzsa majukumuyenukwakuzingatia sheriakauninuna taratibu na katika utatuzowakero za watu pasiwa na  neno njoo keshoau wiki ijayo’alisema Masenza.

Pamojana kuwatakakushughulikia migogoroya wanachi piaawataka viongozi hao kuhakikisha wanaondoa tatizo la njaa kwenye maeneo yao huku akibainisha maeneo sugu kwa njaa mkoani hapakuwa ni Tarafa ya Isimani  wilayani Iringa na Tarafa ya Mahenge wilayani Kilolo.

Agizo lingine walilopewa viongozi hao wateule ni kushughulikia tatizo la watumishi hewa  ambalo tayari serikali ya mkoa imechukua hatua yakuwabaini.

Alisema mkoa huo umebiani uwepo wa wafanyakazi hewa 169 ambao ni  idadib mpya inayotofauriana na idida aliyootoa awali ya wafanyakazi 23 hivyo kutaka viongozi hao kuwachukulia hatua watumishi hao kwamjibu wa sheria pamoja na watumishi waliosababisha uwepo wao.

Kwa upande wao wakuu wa wilaya hao wakizungumza mara baada ya kuapishwa walisema wamepokea maelekezonakwamba watayatekeleza kwa kamawalivyoelezwa na mkuu huyo wamkoa.

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela alisema amekwishatenga siku moja katika kila wiki kwaajili ya kushughulikia migogorombalimbali katikaeneolakena kuwataka wanachikufika ofisini kilasikuya Alhamisi kumweleza kero zao.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Jamhuri  William alisema atahakikisha anasiamia sualala elimu katikawilaya yake na kuifanya wilaya hiyokwua miongoni mwa maeneo ya watu walioelimika.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Abdallah alisema atahakikisha wazazi wa Wilaya hiyo wanawawapatia watoto wao vifaa muhimu vitakavyowafanya wasome na kwamba mzazi atakayezembea atamchukulia hatua za kisheria.

0 maoni:

Chapisha Maoni