Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haruna Ali Suleiman
wakati alipotembelea Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani,Vuga
Mjini Unguja ambao unatarajiwa kufanyika kwa Baraza la Eid el Fitri
linalofanyika kila mwaka baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haruna Ali Suleiman
(kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya makamo wa Pili wa Rais Joseph Abdalla
Meza(kulia) wakati alipotembelea Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa
Zamani,Vuga Mjini Unguja ambao unatarajiwa kufanyika kwa Baraza la Eid
el Fitri linalofanyika kila mwaka baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,[Picha na Ikulu.]
0 maoni:
Chapisha Maoni